Search This Blog

Friday, April 17, 2020

VIDEO: Serikali yatoa ufafanuzi wa bei ya sukari kupanda


Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe. Innocent Bashungwa amewatoa hofu watanzania juu ya kupanda kwa bei ya sukari na kusema Kama nchi hakuna upungufu wa sukari nchini, na upungufu wa sukari ushaagizwa na imeshafika nchini.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...