Klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani imeonesha wazi kuwa nia yao ya kutangaza kuwa uwanja wao wa Signal Iduna Park utatumika kama sehemu ya kutibia wagonjwa wa corona ilikuwa ya dhati.
Leo imeonesha maandalizi yalivyokamilika katika uwanja huo wakati huu Ligi mbalimbali duniani zikiwa zimesimama ikiwemo Ligi Kuu ya Ujerumani, sasa ni wazi Signal Iduna Park inaanza kutoa huduma kwa wagonjwa wa corona.
Uwanja huo wa Iduna Park una uwezo wa kuingiza watazamaji 81,000 wakati wa mchezo, hadi sasa nchini Ujerumani visa vya corona vinatajwa kufikia 95,785, wamepona 15,072 vifo vikitajwa kufikia 1,431.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...




No comments:
Post a Comment