Search This Blog
Monday, April 27, 2020
RC Kilimanjaro Anna Mghwira afanyiwa vipimo vya corona
MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira amekuwa kiongozi wa kwanza kujitokeza hadharani na kufanya vipimo vya Homa ya Mapafu (COVID-19) inayosababishwa na Virusi hatari vya Corona lengo likiwa ni kuhamasisha wananchi watizame afya zao kabla hali haijabadilika.
RC Mghwira ametoa sababu za kupima ugonjwa huo na kudai kuwa anakutana na watu wengi na amefanya hivyo ili kujua usalama wake na asije kuwa chanzo cha kuwapelekea wengine.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment