Search This Blog
Tuesday, April 28, 2020
Mwana FA Katangaza nia ya Kugombea Ubunge Mwaka huu 2020
NI April 27, 2020 ambapo mkali Mwana FA amefanya mahojiano kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa Radio Clouds FM na kueleza nia yake ya kugombea Ubunge Mwaka huu 2020.
Kuhusu kugombea Ubunge mwaka huu 2020, Chama changu hakijaruhusu kuongea lakini ikifika muda nitasema, lakini nia ya kugombea Ubunge ninayo ila hata mambo ya kwamba Jimbo lipi nitagombea tusubiri” -Msanii Mwana FA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment