Search This Blog

Sunday, April 12, 2020

Msigwa Asema ni Lazima Wananchi Kufungiwa ndani Miezi Mitatu Kuepuka Maambukizi ya Corona


Mbunge wa Iringa mjini ( Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, amesema maambuki ya ugonjwa wa Corona yanaongezeka ni lazima watu wafungiwe ndani ili kuzuia maambukizi.

” Pona yetu ni kujikinga tu! Complete lockdown haiepukiki. Mipaka ya yote ya nchi ifungwe,” ameandika Msigwa katika ukurasa wake wa twitter.

Alisema kila mwanachama afungiwe ndani kwa miezi mitatu kwa lazima.

“Serikali ya wanyonge isaidie wanyonge chakula ivunje kibubu chote cha taifa,’ amesema Mchungaji Msigwa.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...