Mpenzi halindwi na Alarm wala hawekewi Tracker,analindwa na Mahaba na Care unazompa.Ukimpa Mahaba Niue Nife Nayo basi atakuwa wako daima dumu,atajilinda mwenyewe na hataenda nje maana hakuna kipya kule ambacho kwako hapati,Ukimpa Mahaba ya Kibaba cha Mafuta shallow,basi atatafuta mtu wa kujazilizia kwenye gepu!
Usipoteze muda kukaba nyendo za mpenzi wako kama beki wa Yanga,Invest kumridhisha Mpenzi wako kwenye kila idara ya Penzi lenu ili Mahaba yenu yabaki salama lasivyo jiandae kuwa mlinzi wa KK Security Night Shift bila gwanda!
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment