Klabu ya Liverpool ya England ipo katika mtihani mkubwa wa kuhakikisha kocha wao Jurgen Klopp anaendelea kusalia kama kocha mkuu wa kikosi chao wakati huu akiwa anahusishwa kuondoka.
Imeripotiwa kuwa Ujerumani kwa sasa wanamtazama Jurgen Klopp kama kocha wao ajaye wa timu ya taifa baada ta Joachim Low, kitu ambacho kama kitatokea kitakuwa pigo kwa Liverpool.
Liverpool kwa kipindi kirefu imekuwa ikisuasua na kuamua kubadilisha makocha kila leo toka alipoondoka Raphael Benitez aliyedumu na timu hiyo kwa miaka 6 (2004-2010) toka hapo ilibadilisha makocha watatu kabla ya kumpata Klopp 2015.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment