Search This Blog

Wednesday, April 15, 2020

Diva Loveness Asemekana Kusimamishwa Kazi Clouds FM Kisa Kumlipua Ali Kiba Kuhusu Kutoka Nae Kimapenzi

BREAKING NEWS.... Taarifa Zinazo sambaa mitandaoni ni kuwa mtangazaji DIVA Amesimamishwa Kazi Clouds FM Kutokana na Kumlipua Ali Kiba na Kudai Walikuwa wanatoka naye Kimapenzi....

Baadhi ya Comments za Wadau:

Aondoke fastar katuchosha mpuuzi.huyo na huyo soudy pia nae hafai.clouds fm wajinga wote tupa.kule

discipline Hana ende wcb

Mdomo uliponza kichwa

mkuttamalima's profile picture

Mpaka Diva kupata kazi Clouds alikuwa ameshatimiza zaid ya miaka 24, maana yake aliweza ishi kabla ya kuwa Clouds, sasa cha ajabu nini, kumbe maisha yapo baada ya Clouds. Pia hapo ndio huwa naona maana ya kuwa na kazi yako mwenyewe


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...