Search This Blog

Thursday, April 16, 2020

Dickson Etuhu afungiwa miaka mitano kujihusisha na soka


Mchezaji wa zamani wa Man City Dickson Etuhu ,37, afungiwa miaka mitano kujihisisha na soka kutokana na kubainika kuwa alihusika kupanga matokeo ya mechi May 2017.

Etuhu alihusika kupanga matokeo baada ya kubainika kuwa alimshawishi mchezaji mwenzake wa AIK Stockholm anayejulikana kwa jina la Kane Stomatopoulos kupanga matokeo katikamchezo dhidi ya Gothenburg.

Inaaminika kuwa golikipa Stomatopoulos alipewa ofa ya pauni 180,000 (Tsh milioni 520) na Etuhu ili acheze chini ya kiwango mchezo huo baada ya golikipa namba moja wa timu hiyo kuumia na kuukosa mchezo huo

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...