Search This Blog

Sunday, March 29, 2020

Vifo vya corona vyaongezeka Uturuki wafikia watu 131


Waziri wa afya wa Uturuki atangaza  idadi ya vifo kwa korona Uturuki kuongezeka.

Fahrettin Koca, waziri wa afya wa Uturuki  ametangaza kuwa idadi ya watu ambao wamekwishafariki kutokana na virusi vya corona imeongezeka.

Idadi hiyo imeripotiwa kuongezeka baada ya watu 23 kufariki na kufanya idadi hiyo kuongezeka na kuwa watu 131.

Katika ujumbe wake aliotoa katika ukurasa wake wa Twitter, Waziri wa afya wa Uturuki amesema kuwa  katika kipindi cha masaa 24 yaliopita  watu 23 wamefariki.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...