Search This Blog

Sunday, March 29, 2020

Trump awataka Mwanamfalme na mkewe kujilipia gharama ya ulinzi

Rais wa Marekan Donald Trump amewataka mwanamfalme Hrry na mkewe kama wanataka kwenda marekani bali gharama ya ulinzi itakuwa juu yao na si Marekani.

“Mimi ni rafiki wa Malkia, nampenda na naipenda Uingereza, iliripotiwa kuwa Mwanamfalme Harry na Mkewe Meghan ambao waliondoka kwenye Jumba la Kifalme wataishi Canada, sasa hivi wameondoka Canada eti wanakuja Marekani, waje lakini wajue Marekani haitolipa gharama za ulinzi, watajilipia wenyewe”- Rais Donald Trump wa Marekani

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...