Search This Blog

Monday, March 30, 2020

Tanzia: Mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited Salum Shamte amefariki dunia


Mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited Salum Shamte amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu, mkewe Mariamu Shamte amethibitisha.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...