Search This Blog

Monday, March 2, 2020

Tanasha DONA Ana Hasira sanaa...Ampiga Block Ya Nguvu Msanii Mbosso Baada ya Esma Platnumz na Mama Dangote


Tanasha Ana Hasira sanaa... Ampiga Block Ya Nguvu Msanii Mbosso... HUU ni mwendelezo wa Tanasha Kutemana na wanafamilia wote wa Diamond Platnumz Baada ya tetesi kuwa wameachana

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Jana Mrembo huyo kutoka Kenya aliwapiga Block ya nguvu Esma Platnumz na Mama Mkwe wake Mama Dangote huku Akipost picha kuonesha amerudi kwao Nairobi baada ya Mondi Kumshinda

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...