Search This Blog

Friday, March 20, 2020

SUKOS YAWAPIGA MSASA MADELEVA WA PIKIPIKI NAMNA YA KUJIKINGA CORONA

Mkurugenzi Mendaji wa Tasisi ya SUKOS, Suleiman Kova (kulia) (Kamanda
mstaafu wa Jeshi la Polisi) akipima kiwango cha joto katika jitihada za kukabiliana na kirusi cha Corona. naempima ni Mratibu wa Afya ya Jamii Mkoa wa Dar es Salaam,Agnes Mgaya katika semina elekezi dhidi ya mampambano ya ungonjwa corona madeleva wa pikipiki leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mendaji wa Tasisi ya SUKOS, Suleiman Kova (kulia) (Kamanda mstaafu wa Jeshi la Polisi) akizungumza na waaandi wa habari katika semina elekezi dhidi ya mampambano ya ungonjwa corona madeleva wa pikipiki leo jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Afya Kinywa na Meno, Dkt.Daisy Majamba akizungumza na madeleva wa pikipiki namna ya kijikinga na kirusi cha Corona leo katika semina elekezi dhidi ya mampambano ya ungonjwa corona.
Katibu wa Afya mkoa wa Dar es Salaam, Sister Mathew akisistiza jambo namna ya kujikinga na kirusi cha Corona leo katika semina elekezi dhidi ya mampambano ya ungonjwa corona kwa kushirikiana na madeleva wa pikipiki.
Madeleva wa pikipiki wakimsiliziza Mkurugenzi Mendaji wa Tasisi ya SUKOS,Suleiman Kova (kulia) (Kamanda mstaafu wa Jeshi la Polisi)
 (Picha na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...