Search This Blog

Thursday, March 26, 2020

Msanii wa Bongoflava LINAH Afunguka Kuwa Anasumbuliwa Sana na Wanaume Kisa Msambwanda

Msanii wa Bongoflava LINAH Afunguka kuwa anasumbuliwa sanaa na wanaume wenye tamaa kisa makalio yake Makubwa

Mungu Ameniumba hivyo sijawahi kufikiria kuongeza makalio kamwe, Asilimia kubwa ya meseji kwenye DM yangu ni kutoka kwa wanaume wanaonitongoza na kusifia shape yangu

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...