Watu 611 wamekwishafariki nchini Iran kutokana na virusi vya corona.
Wizara ya afya nchini Iran imefahamisha kuwa idadi ya watu ambao wamekwishafariki kutokana na virusi vya corona inazidi kuongezeka tangu kuanza kwake.
Watu wengine 97 wamepimwa na kukutwa wakiwa na virusi vya corona kwa muda wa masaa 24 yaliopita.
Niwa 611 ambao wamekwishafariki baada ya kutangazwa kufariki kwa watu wengine 97.
Wizara hiyo imeendelea kufahamisha kuwa watu wengine 1365 wameambukizwa virusi hivyo ambavyo imekuwa tishio kute ulimwenguni.
Waziri wa afya wa Iran ametangaza kupitia msemaji wake Kianush Jahanpour imefahamisha kuwa miongoni mwa waathirika 12729 , waathirika 4339 wamepona baada ya kupewa matibabu.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment