Search This Blog
Saturday, March 7, 2020
Diamond Planumz Apewa Zawadi na FIFA....
Msanii wa Kimataifa kutoka Tanzania Alipata nafasi kutembelea museum ya FIFA pale Zurich.Msanii diamond ametua uswizi mahususi kwa ajili ya show yake ambayo ameipa jina European tour.
Baada ya kuingia museum ya FIFA amepewa zawadi ya kikombe kidogo pamoja na jezi yenye jina lake Platnumz no 9 mgongoni na secretary wa FIFA mwanamama Fatma Soumora.Mwanamama huyo ni fan mkubwa wa diamond ndio aliyempigia chupuo diamond aperform kwenye tuzo ya mwanasoka wa Africa ambayo tulishuudiwa ikichukuliwa na Saido mane kutoka Senegal.
HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Pia Diamond akapata nafasi ya kusign mpira wa FIFA lakini pia FIFA walimpost diamond kupitia insta story ya FIFA world cup.
Big up diamond kwa kutuwakilisha vizuri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment