Search This Blog
Friday, March 27, 2020
Bosi wa Halotel na Wenzake Mbaroni kwa Kuhatarisha Usalama wa Taifa, Hasara Kwa Serikali
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu ya Halotel, Son Nguyen (46) pamoja amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakabiliwa na mashtaka 10 tofauti.
Miongoni mwa mashitaka yanayowakabili ni la kuisababishia hasara Serikali ya Sh 78bilioni, kwa kutengeneza bomba ambalo linapitisha mawasiliano fichwa ambayo ni hatari kwa usalama wa Taifa.
Hata hivyo Nguyen ambaye anazaidi ya miaka 10 katika kampuni hiyo hayupo peke yake katika mashitaka hayo bali yupo na na wafanyakazi watano wa Kampuni hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment