Search This Blog

Sunday, February 2, 2020

Waliokufa kutokana na virusi vya corona China wafikia 304


Idadi ya waliofariki kutokana na virusi vya corona China imeongezeka kutoka 304 hadi kufikia Watu 361, huku uwezekano wa idadi ya vifo kuongezeka ukiwa mkubwa.

Watu walioathirika na virusi hivyo mpaka sasa wamefikia 21,558 Duniani kote, na bado waathirika wapya


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...