Search This Blog
Monday, February 24, 2020
Vikao vya bunge la China vyahairishwa kisa virusi vya corona
Kikao cha bunge la China kilichokuwa kianze March 5 kimehairishwa kutokana na hofu ya virusi vipya vya Corona (Kovid-19).
Uamuzi huo umefanywa na baraza la uongozi wa bunge katika kikao chake cha leo.
Kikao hicho ambacho kwa uchache hudumu kwa muda wa siku 10, hujumuisha wajumbe elfu 5000 kutoka maeneo mbalimbali na hukutana jijini Beijing.
Hii ni mara ya kwanza kwa mkutano wa bunge kuhairishwa tangu mapinduzi ya utamaduni
(1966-1976)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment