Search This Blog
Monday, February 3, 2020
Ushindi wa Rais wa Malawi wafutwa na mahakama
Mahakama ya Kikatiba Lilongwe, Malawi imefuta matokeo ya uchaguzi wa May 21,2019 yaliyompa ushindi Rais wa sasa wa nchi hiyo, Peter Mutharika, Jopo la Majaji watano limeiagiza Tume Ya Uchaguzi Malawi (MEC) kufanya uchaguzi mpya ndani ya siku 150 kwa kile walichoeleza kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki.
Agizo hilo linamaanisha Makamu wa Rais Everton Chimulirenji sio tena Makamu wa Rais wa Malawi kwa sasa kutokana na kufutwa kwa matokeo hayo.
Sheria za uchaguzi na kupata mshindi ziangaliwe, ili Mtu achaguliwe kuwa Rais wa Malawi, lazima aweze kupata zaidi ya asilimia 50 + 1 ya kura" - MAHAKAMA MALAWI ( Ephraim Mkali Banda, Malawi)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, Arch. Elius Mwakalinga, akitoa maelekezo kwa Kai...
No comments:
Post a Comment