Search This Blog

Saturday, February 22, 2020

Tyson Fury aibuka mshindi baada ya kumtwanga Deontay Wildera kwa TKO

Bondia TysonFury ameibuka mshindi wa pambano la pili la mkanda wa Uzito wa Juu kwa kumchapa DeontayWilder kwa TKO raundi ya 7 ya mchezo uliokuwa wa raundi 12.

Licha ya kuangushwa chini mara mbili, Wilder pia alikuwa akivuja damu kwenye Sikio lake la kushoto kitendo kilichosababisha mwalimu wake kumuomba Mwamuzi amalize pambano hilo baada ya Wilder kutembezewa kichapo kwenye Kona ya Ulingo.

Wawili hawa mpaka wanakanyaga ardhi ya MGM GRAND kila mmoja alikuwa hajapoteza pambano lolote.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...