Search This Blog

Sunday, February 2, 2020

Rais wa Uturuki atarajiwa kufanya ziara nchini Ukraina


Rais Recep Tayyıp Erdoğan asubiriwa kwa hamu nchini Ukraina ambapo atashiriki katika mkutano na baraza la bunge mjini Kiev.

Mkutano wakimkakati kati  ya baraza la kimkakati la Uturuki na Ukraina  mjini Kiev.
Rais Erdoğan a anatarajiwa kuwasili mjini Kiev Jumatatu Februari 3.
Taarifa kuhusu ziara hiyo ya rais Erdoğa nchini Ukraina imetolewa na kitengo kinachohusika na mawasiliano ikulu.

Rais Erdoğan atazungumza na rais wa Ukraina  Volodymyr Zelensky kuhusu masuala tofauti.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...