From @harmonize_tz Saaa 3:45 Nipo Hapa Tuhgimbe Hoteli Mbeya Nikijiandaa...!!! Kuelekea Uwanjani Kwajili Ya Show
Jeshi La Ulinzi Na Usalama Limeingiza Magari Hapa Uwanjani Na Kuamuru Show Isiendelee...!!!! Ikiwa Show ina Kibali Kinacho Tuamuru Kuendelea Na Tamasha Mpaka Saa 6:00 Usiku...!!! Na kinatambulika na serikali Kiukweli Nimebaki Mdomo Wazi Na Siwezi Kuingilia Taratibu Za Usalama Ingawa Sijabahatika Kupewa Sababu Ninini Nichukue Fursa hii...!! Kuwaomba Radhi Mashabiki Nduguzangu Waliopoteza Muda wao Na Kujazana Hapa Uwanjani..!! Richa Ya Pesa Walizo lipa Naomba Niishie Hapa...!!! Na Nimuachie Mungu Mpanangaji Mkuu Mana Ukipanga Nae Pia Anapanga...!! 🙏 IM JUS TRAYING TO CHASE MY DREAM 🤐 from My Hart Nimemsamehe Yeyote Alie husika na Hili And Mungu Amjalie Zaidii..!!! BURUNDI NEXT 8/3/2020 ❤🤞

No comments:
Post a Comment