Search This Blog

Sunday, February 16, 2020

Lulu Michael na Majizzo Wachoka Kusubiria Mtoto..Hichi ndio Walichoamua Kufanya


Ikiwa bado tunaendeleza mwezi wa wapendanao(Valentine's) huku kila mmoja akijaaribu kuonyesha namna alivyosherehekea na ndugu jamaa na marafiki/wapenzi wao

Mkurugenzi wa E-media @majizzo yeye ametupostia picha ya keki ambayo inaoneka dhahiri kwamba imetoka kwa mchumba wake @elizabethmichael na suala lililochukua headlines na kuacha maswali vichwani mwa watu ni kuhusiana na caption ya @majizzo ilioashiria kuwepo kwa uwezekano wa wawili hao kuwa katika mpango wa kutafuta mtoto hivi karibuni.


Hii imezidi kuhisiwa hivi kutokana na jibu la @elizabethmichael Katika post hiyo ambapo limeonyesha kama wote kwa pamoja wapo tayari na wamechoka kusubiri Katika hili




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...