Search This Blog

Sunday, February 2, 2020

Lema Amtetea Mwamposa, Ataka Simbachawene, Sirro Wajiuzulu


KUFUATIA Jeshi la Polisi nchini kumkamatwa Mtume na Nabii Boniface Mwamposa,  kwa kusababisha vifo vya watu 20 waliokanyagwa katika kongamano lake wakigombania kukanyaga mafuta ya upako katika Uwanja wa Majengo, Moshi mkoani Kilimanjaro, Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA) ameibuka na kumkingia kifua mtume huyo.



Lema ambaye ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, amelitupia lawama Jeshi la Polisi na Wizara ya Mambo ya ndani kwa kushindwa kudhibiti adha hiyo huku akiwataka Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro wajiuzulu.

VIDEO:



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...