Search This Blog

Tuesday, February 25, 2020

Iran: Naibu waziri wa afya aambukizwa virusi vya Corona

Watu 4 zaidi wafariki kutokana na virusi vya Corona, Covid-19  nchini Iran na kufanya idadi ya watu waliofariki kutokana na virusi hivyo nchini humo kufikia 16.

Naibu waziri wa afya wa Iran, İreç Herirçi, amesema kwamba nay eye ni miongoni mwa watu walioambukizwa na virusi vya Corona. Mpaka kufikia sasa idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Corona nchini humo ni watu 96.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...