Hamisa Mobetto Afunguka Kurudiana na Diamond Platnumz...
Hamisa Mobetto amesema " Watu wanasema nimerudiana na Diamond, lakini si ukweli yaani ni uongo na ni chonganishi...Mimi sipendi tabia ya watu kuzusha vitu ambavyo havina ukweli...tuwe tunafikiria vya kuzusha" Hamissa
No comments:
Post a Comment