Maduka, Vibanda na Magenge ya Wafanyabiashara ndani ya soko hilo lililopo Tegeta Jijini Dar yametekea kwa moto usiku wa tarehe 17 Februari, 2020
Inadaiwa kuwa chanzo cha moto huo uliosababisha hasara kubwa ni hitilafu ya umeme - #regrann
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
No comments:
Post a Comment