Search This Blog
Thursday, February 6, 2020
Barcelona yachezea kichapo, yatupwa nje kombe la mfalme
Wachezaji wa Barcelona wakiwa hawaamini macho yao baada ya kuchapwa 1-0 na Athletic Bilbao bao pekee la mshambuliaji Mspaniola, Inaki Williams mwenye asili ya Ghana dakika ya 90 , sekunde chache baada ya Lionel Messi kukosa bao la wazi kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa San Mamés Barria mjini Bilbao, hivyo kutolewa kwenye michuano hiyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment