Na Yassir Simba, Globu ya Jamii
Klabu ya Yanga imeendelea kupata vipigo mfululizo baada ya leo kupoteza tena dhidi ya wenyeji wao 1-0 katika dimba la taifa Azam Fc wanalambalamba
Bao la Azam Fc limepatikana dakika ya 25" baada ya beki wa Yanga kujifunga katika harakati za kuokoa mpira uliochezwa na golikipa Farouk Shikalo
Yanga ilipata pigo tena mnamo dakika ya 80" ya mchezo Ally Sonso alipata kadi ya pili ya njano na kuzaa kadi nyekundu iliyowafanya Yanga kubaki pungufu hadi dakika 90 Azam 1 - Yanga 0.

Kikao baina Ya wachezaji wa Yanga na Viongozi wa klabu hiyo wakiongozwa na mwenyekiti wa klabu hiyo Dkt. Mshindo Msola kinaendelea katika vyumba vya kubadilishia nguo katika dimba la taifa kufuatia vipigo viwili mfululizo kwa timu hiyo.
Kocha wa Yanga SC Luc Eymael alipokuwa akitoa maelekezo wakati wa mchezo wake na timu ya Azam SC.

No comments:
Post a Comment