Search This Blog

Friday, January 10, 2020

TID Afunguka Kuhusu Taarifa Zinazosemekana Kuwa WASANII Walioenda Kigoma Kumsapoti Dimaond Hawajalipwa – Video


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @tidmusic Mnyama amefunguka kuhusu maneno yaliyokuwa yanasambaa kuwa wasanii wote waliomsindikiza Diamond kwenda Kigoma hawakulipwa.

Mbali na hilo TID sameeleza mipango yake kwamba anataka kufanya Annivensary ya miaka 19 kwenye muziki wake kama alivyofanya @diamondplatnumz Kigoma lakini yeye ataifanyia Dar Es salaam sehemu alipozaliwa, Pia amezungumzia kipaji cha msanii chipukizi wa Kike ambaye ni mtoto wa Mtangazaji wa Clouds Fm Gadna @malkiakaren na kusema atafika mbali sana kwani ana kipaji cha kipekee sana.

VIDEO:


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...