Search This Blog
Friday, January 31, 2020
Salim Mtango amtwanga kwa TKO bondia Mthailand katika round ya 7
Bondia Salim Mtango amefanikiwa kumtwanga mpinzani wake Suriya Tatakhum kutoka Thailand katika round ya 7.
Pambano hilo limefanyika leo katika kiwanja cha Mkwakwani mkoani Tanga, Salim Mtango sasa amekuwa ni Bingwa mpya wa Dunia UBO kwa ushindi wa TKO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment