Malori mawili aina ya Fuso yametumbukia katika mto Itembe-Meatu mkoani Simiyu, moja likiwa na mahindi magunia 90 na lingine vitunguu ambavyo vyote vimesombwa na maji baada ya Daraja kufukiwa na maji na kusababisha hasara ya kiasi cha shilingi milioni 30 kwa mwenye mzigo na hakuna Vifo vilivyotokea.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment