Search This Blog

Friday, January 31, 2020

Mwimbaji Huyu Atangaza Kuzikata Nyeti zake ili Asahau Kabisa Mambo ya Mapenzi

Pichani Queen Haizel mwimbaji wa Ghana katika interview mpya amewaacha watu midomo wazi kwa kufunguka kuwa kuanzia sasa muda wowote ataziteketeza sehemu zake nyeti ili asahau kabisa issue za mapenzi kusudi ajikite vizuri Kwenye kazi zake za muziki akidai zimekuwa kikwazo kwa maendeleo yake. Amesema ataenda nje ya nchi kwa miezi miwili kufikia lengo hilo la kuzikata

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...