Na James Timber, Mwanza
Jengo lenye ghorofa tatu liliopo maeneo ya Isamilo katika wilaya ya Nyamagana mkoani hapa, limeteketea kwa moto Majira kati ya saa 12 jioni, huku chanzo kikiwa hakijajulikana.
Hata hivyo hadi kufifia kwa moto huo hakuna mtu yeyote anayeripotiwa kuathirika na moto huo, huku baadhi ya mashuhuda wakazi wa jirani wa jengo hilo wamesema kuwa zimamoto walifika mapema na kusubiri TANESCO, jambo lilopelekea kuongezeka kwa moto huo.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment