Search This Blog

Monday, January 13, 2020

Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ajiuzulu nafasi ya mnadhimu wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni

Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini  amejiuzulu wadhifa wa Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni  kutokana na kutotambulishwa rasmi kwa uongozi wa Bunge tangu ateuliwa miaka miwili iliyopita.

Selasini aliteuliwa kukaimu wadhifa huo miaka miwili iliyopita, kufuatia aliyekuwa akishikilia wadhifa huo, Tundu Lissu kuwa katika matibabu nje ya nchi baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 na watu wasiojulikana Septemba 7, 2017 nyumbani kwake Jijini Dodoma.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...