Search This Blog
Thursday, January 23, 2020
Mbosso Ndani ya Simanzi Nzito BAADA ya Kumkumbuka Marehemu Mpenzi Wake..Diamond na Romy Jons Wamfariji
Kupitia 'Account' yake ya SnapChat, @mbosso aweka picha ya marehemu mpenzi wake na kuandika jumbe ambayo imeashiria simanzi yake.
Kaandika maneno katika lugha ya kiingereza yenye maana "Lini nitakuona tena" na kuweka 'Emoji' yenye ishara ya maumivu.
Mwanamuziki DiamondPlatnumz & RomyJons wampa faraja na kumwambia awe ni mwenye subira katika hili.
Marehemu Martha alifariki hapo mwaka jana, wawili hao walidaiwa kuzaa pamoja licha ya kuficha mahusiano yao ambapo @mbosso_ alinyimwa mtoto aliyedai wake kwa ndugu kusema kuwa marehemu hakuweka wazi juu ya hilo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment