Ofisa habari wa timu ya wekundu msimbazi Simba bwana Haji Manara ametoa hisia zake za maaumivu juu ya kufungwa na amewaomba radhi wanasimba na kusema kuwa hilo kwao ni funzo.
Kupitia instagramu yake ameandika hivi;
Wanasimba wenzangu!!
Najua maumivu mliyopitia jana na nnafahamu karaha mnazopata toka kwa watani zetu, lakini niwaambie kitu kimoja, hili kwetu ni funzo, ni funzo kwa kila mmoja klabuni.
Viongozi,Benchi la ufundi na hata wachezaji wetu.
Wanasimba wa leo hawapo tayari kufungwa na hasa kama unafungwa kirahisihisi.
Kocha wetu atakuwa kaelewa nn mnataka wenye timu na wachezaji bila shaka watapambana ili kuwapa Wanasimba mnachostahili
Mm imani yangu ni kubwa sana kwao, hakuna shaka yaliyotokea jana ni historia isiyofaa kurejewa.
Sote tunaumia lakini hii ndio Raha na karaha za football, mtu wa mpira lazma upitie tamu na chungu za kushabikia soka.
Now akili yetu tuelekeze Mwanza ktk mechi mbili ngumu zijazo.
Tushirikiane kupata points sita za CCM kirumba
Insha'Allah tutafanikiwa
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment