Search This Blog

Sunday, January 19, 2020

Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani wafanya upasuaji mkubwa wa moyo

Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani wakimfanyia mgonjwa upasuaji mkubwa wa kubadilisha valvu ya moyo iliyokuwa haifanyi kazi kwenye kambi maalum ya upasuaji wa moyo ya siku 12 kwa watoto na watu wazima  inayoendelea katika Taasisi hiyo. Hadi sasa wagonjwa 15 ambao ni watu wazima saba na watoto nane wameshafanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri.
Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani wakimfanyia mgonjwa upasuaji mkubwa wa kubadilisha valvu ya moyo iliyokuwa haifanyi kazi pamoja na kurekebisha mishipa ya damu ya moyo kwenye kambi maalum ya siku 12 ya upasuaji wa moyo kwa watoto na watu wazima inayoendelea katika Taasisi hiyo. Hadi sasa wagonjwa 15 ambao ni watu wazima saba na watoto nane wameshafanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri. Picha na JKCI


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...