Search This Blog

Friday, January 17, 2020

Huyu Hapa Bilionea Number Moja Afrika..Ripoti ya Forbes Yamtangaza


Katika ripoti yake mpya Forbes imesema Mfanyabiashara wa Nigeria Aliko Dangote ameendelea kuwa Bilionea No.1 Afrika akiwa na utajiri wa USD Billion 10.1 ( Trilion 23.31 za Kitanzania) licha ya kwamba na yeye utajiri wake umepungua kutoka Billion 10.3 (Trilion 23.78) mwaka jana.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...