Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amewaagiza Polisi Mkoani humo kuyaondoa mabango yote ya waganga wa jadi yaliyobandikwa Mitaani yakiwemo yanayoeleza kuhusu kuongeza nguvu za kiume kwa madai kuwa yanawaingiza Wananchi kwenye majaribu ya kishirikina.
Chalamila amesema baada ya kuyaondoa mabango hayo, uanze mchakato wa kuwakamata waganga wa jadi wote wanaokiuka taratibu za Nchi na kuwafikisha kwenye vyombo vya dola.
"Vijana wetu wameingia kwenye mitego ya ajabu, wanafikiri nguvu za kiume zinapatikana kwa Waganga mwisho wa siku wanaharibu miili yao na wanaingia kwenye ushirikina ambao hauna maana" - RC Chalamila
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment