Search This Blog

Friday, January 3, 2020

Binti Aliyekuwa Anashiriki MAPENZI ya Jinisia Moja "USAGAJI" Afunguka Makubwa "Nikiona Demu Mkali Namtaka" Amtaja Wema

Binti akiyekuwa anashiriki Mapenzi Jinsia Moja  na Wakezawatu Amefunguka namna Alivyokuwa Akiwaweza Na Kuenjoy Nao,Amtaja mrembo Wemasepetu

"Kuna Kipindi Nilikuwa nawatongoza mimi Mwenyewe Yaani Nikiona Demu mzuri lazima nimtake ila baadae nikaona nisiwatongoze lakini wakawa wanakuja wenyewe kunitongoza, wengine wanataka kujaribu tu ikoje hiyo mapenzi ya jinsia moja....Walikuwa wanakuja kwasababu mimi nilikuwa nimejiweka wazi kuwa nashiriki mapenzi ya jinsia moja"


Tazama Video Kuendelea kumsikiliza:


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...