Search This Blog

Monday, January 6, 2020

BARABARA YA DONGE MUWANDA ZANZIBAR YAZINDULIWA .

 Barabara ya kilomita 3.8 iliozinduliwa na Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Mwalimu Donge Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar.
  Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Mwalimu akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Barabara ya Kilomita 3.8 Donge Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar. alie na  Mtandio Mwekundu ni Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dk, Sira Ubwa Mamboya.
  Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Mwalimu katikati  akifungua pazia katika hafla ya  Uzinduzi wa Barabara ya Kilomita 3.8 Donge Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar
 Baadhi ya Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Kilomita 3.8 Donge Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar

 Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dk, Sira Ubwa Mamboya.akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeno rasmi katika  hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Kilomita 3.8 Donge Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar
Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Barabara ya Kilomita 3.8 Donge Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar .PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...