Search This Blog
Friday, January 17, 2020
Baba wa Samata: Ndoto yetu na Mbwana ilikuwa ni kucheza ligi kuu ya Uingereza
Baba wa nahodha wa Tanzania Mbwana Samata anajivunia mafanikio ya mtoto wake katika ulimwengu wa kandanda na kusema kuwa siku zote yeye na mwanaye walikua wanatamani acheze kwenye ligi kuu ya uingereza.
Ndoto hiyo inakaribia kukamilika wakati huu ambapo Aston Villa inatumai kukamilisha makubaliano ya dau la £10m kumsajili mshambuliaji huyo wa klabu ya Genk ya Ubelgiji.
''Siku anacheza na liverpool nilisema akiwafunga nitamchinjia jogoo nilifurahi sana hata sasa ndoto imetimia tulikua tuna ndoto ya kutua uingeleza kwakua ndio ligi pendwa kwa sasa'' alisema baba mzazi wa Samatta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment