Search This Blog

Friday, December 27, 2019

Zitto KABWE Atoa Mpya..Asema Rais Angeacha Kununua Ndege ili Wanafunzi Waliofaulu Waende Shule


Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Rais John Magufuli angeacha kununua hata ndege mbili ili watoto waliofaulu waende shule.

Zitto alisema hivi sasa watoto wanafaulu Ila wanashindwa kwenda shule kwa sababu hakuna madarasa.

“Watu wa CCM wakinilalamikia mwanangu kafaulu lakini hajaenda shule huwa nawaambia kawashomesheni kwenye ndege,” alisema

Kiongozi huyo aliandika ujumbe huu katika ukurasa wake Twitter ” Hivi leo, watoto wanafaulu ila wanashindwa kwenda shule kwa sababu hakuna madarasa. Rais  angeacha kununua hata ndege mbili watoto wangeenda shule. Watu wa CCM wakinilalamikia mwanangu kafaulu lakini hajaenda shule huwa nawaambia kawasomesheni kwenye ndege,”

"Hivi leo, watoto wanafaulu ila wanashindwa kwenda shule kwa sababu hakuna madarasa.Rais angeacha kununua hata ndege mbili watoto wangeenda shule. Watu wa CCM wakinilalamikia mwanangu kafaulu lakini hajaenda shule huwa nawaambia kawasomesheni kwenye ndege!" #ListeningTour #Temeke pic.twitter.com/Z7GOy6QcUJ

— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) December 26, 2019




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...