Search This Blog

Saturday, December 7, 2019

VIDEO: Wanaohamia CCM wanataka huruma ya Rais/ CCM hawawateki/ Sihami Chadema (EXCLUSIVE)

  

Diwani John Seneu wa kata ya Kiranyi kupitia Chadema, ameweka wazi kuwa wapinzani ambao wamekuwa wakihamahama kwenda CCM wamekuwa wakitafuta huruma za Rais John Magufuli huku akiweka wazi kuwa yeye hatoweza kuhama chama chake. Pia ameongeza kuwa wengi wao wamekuwa wakidai wanatekwa lakini ukweli ni kuwa CCM haiwateki kama unavyozungumzwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...