Search This Blog

Sunday, December 1, 2019

VIDEO: Lowasa aibuka, atoa ushauri huu kwa serikali


Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Edward Lowasa, amesema upo umuhimu wa Serikali,kuweka mipango, inayolenga kuwasaidia watu wanaoishi mazingira magumu hususani vijijini kwa kuwawezesha ili kukabiliana na changamoto mbalimbali,ikiwemo hali duni za kimaisha

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...