Search This Blog

Sunday, December 29, 2019

TCRA Yazipiga Faini ya Jumla ya TZS 5.9B Kampuni 7 za Simu


TCRA imezipiga faini ya jumla ya TZS 5.9B kampuni 7 za simu, kwa kushindwa kutekeleza masharti ya leseni na kukidhi viwango vya ubora wa huduma. Kampuni hizo na faini zao (TZS) ni: 

Airtel: 1.6B
TTCL: 1.6B
Halotel: 900M
Zantel: 850M
Tigo: 500M
Vodacom: 450M 


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...