Search This Blog

Friday, December 6, 2019

TANZIA: Mdogo wa Steven Kanumba, Seth Bosco afariki dunia


Msanii wa Filamu nchini, Seth Bosco amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwao Kimara, Dar es Salaam.

Dada wa Marehemu, Abela amethibitisha kutokea kwa kifo hicho.

Seth Bosco ambaye ni mdogo wake na Marehemu Steven Kanumba alikuwa akiuguzwa kwa muda sasa baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye uti wa mgongo.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...